Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Toleo la 7 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu na Ibtihal ya Port Said nchini Misri yalihitimishwa katika sherehe siku ya Jumanne.
Washindi katika kategoria tofauti walitajwa na kutunukiwa katika hafla ya kufunga, tovuti ya Youm7 iliripoti.
Habari ID: 3478320 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/07
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Jopo la waamuzi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani yanayoendelea Port Said, Misri, limewataja washindi wa duru ya kwanza.
Habari ID: 3478314 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/06
IQNA - Qari mashuhuri wa Misri Mahmoud Shahat Anwar alikariri aya za 107-110 za Surah Al-Kahf katika sherehe za uzinduzi wa toleo la 7 Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Port Said.
Habari ID: 3478308 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/05
Watetezi wa Qur'ani
IQNA - Washiriki wa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani huko Port Said, Misri, walifanya maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina wanaodhulumiwa wa Gaza.
Habari ID: 3478294 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/03
Mashindano ya Qur'ani
IQNA-Toleo la 7 la tukio la kimataifa la Qur'ani linatarajiwa kufanyika Port Said, kaskazini mwa Misri, Februari 2-6.
Habari ID: 3478293 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/02
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Toleo la sita la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Port Said yameanza Ijumaa katika mji huo wa bandarini Misri.
Habari ID: 3476578 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/18
TEHRAN (IQNA)- Wawakilishi wa Misri wameshinda kategoria zote za Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Port Said.
Habari ID: 3474969 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/24
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Bandari ya Port Said Misri yamepangwa kuanza Februari 18.
Habari ID: 3474892 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/05
TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa Jimbo la Port Said nchini Misri wametangaza mpango wa kuandaa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Port Said mwakani.
Habari ID: 3474685 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/17